Nazikumbuka Ndoto


Kweli, maisha hujisawiri vyema katika ndoto.Ama mahaba humteka na kumtawala mja asije akaamini maisha yanapogeuka kuwa dimbwi la mateso. Maskini Hatibu kaandama roho yake iliyong'ang'ania huba tele kwa mchumba wake Shani. Ni mvulana aliyekomaa, mwenye sifa zake, kazi nzuri na asiye na mke. Analiongoza jahazi lake la mapenzi kufuatia himizo la babamtu hadi anapojikuta akililia moyo lisiranr via✓ binti Shani. ..."A maskini Shani wangu nimekupoteza, nitakupata wapi tena? Hiyari ni kitu kisichouzwa, ningeinunua yako...." Nazikumbuka Ndoto ni kisa cha kusisimua na kuvutia hisia kuhusu maisha ya waja waliopendana lakini wasiweze kutimiza ndoto zao kwa sababu za kuta zilizosimama kidete na kusema "ng'o, hapa ndipo mwisho."
KES 394
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Ali Hassan Njama
ISBN 996622324x
SKU2010143000014

Reviews

Leave a product review
or cancel