Ndoto ya Amerika

by Walibora


"Kwani wewe hujawahi kuota ndoto ya .Amerika?" "Bado," nikamwambia Madoa. Alishangaa. Akaniambia ikiwa sijaota ndoto ya Amerika basi lazima nina kasoro fulani... Ndoto ya Amerika ni kitabu usichoweza kukiweka chini hadi umeisoma hadithi nzima. Bila shaka kitawasisimua wasomaji wenye umri mdogo na mkubwa pia kwa jinsi kilivyotungwa kwa ufundi mkubwa.   

ISBN: 9966951105 SKU: 2010143000216
KES 287
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect