Ndoto ya suki

by Story Moja

by Kibet


Suki huona watu kwenye runinga. Yeye pia anatamani kuingia kwenye runinga ilia atazamwe na watu. 
Anatafuta upenyu wa kumfikisha ndani ya runinga bila mafanikio. Je, ataingiaje ndani ya runinga? Soma ili ujue jinsi ndoto ya Suki inatimizwa.
 

ISBN: 9789966066350 SKU: 2010143001025
KES 400
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect