Nyani apata funzo

by Story Moja


Nyani Mkubwa anataka kutambulika kama shujaa. Anawadhihaki wale anaokisia kwamba hawana nguvu kama zake, 
hususan Ndovu na Panya. Wanyama wanapokumbwa na hatari, ni nani anayeitwa kuwaokoa? Je, ni nani anayedhihirisha ushujaa wa kweli?

KES 420
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010143001026
Author Muchemi
ISBN 9789966620675
SKU2010143001026

Reviews

Leave a product review
or cancel