One Planet Mwenge wa Kiswahili

by One Planet


Mwenge wa Kiswahili (Kitabu cha Mazoezi kwa Shule za Msingi) ni kitabu ambacho kimeandaliwa ili kurahisisha ujifunzaji wa Kiswahili katika shule za msingi.Kitabu hili kmeandikwa kwa lugha rahisi ambayo inamwezesha mwanafunzi kuzielewa dhana mbalimbaili, sikatika mtaala unaozingatia malengo maalumu tu, bali pia katika mtaala wa kiumilisi. Kitabu hiki kimeshughulikia mada kupitia shughuli ambazo zinamhusisha mwanafunzi katika ujifunzaji wenyewe, hali ambayo inarahisisha uelewa wa mada mbalimbali na kumfanya alichangamkie somo la Kiswahili.

ISBN: 9789966068835 SKU: BK00000008590
KES 830
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review