OUP Kiswahili Dadisi Workbook Grade 6


Kiswahili Dadisi Workbook ni msururu wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa wa Umilisi. Kila kitabu katika msururu huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

-kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa

- kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezeshamwanafunzi kujenga na kupanua umiliskatika kila mada.

-kina dokezo ambazo zinatoa maelezo zaidi kuhusu vipengele lengwa.

-kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika mada ndogo zote.

-kina majaribio ya mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi.

KES 580
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000007655
Author Oxford
ISBN 9780195749700
Publisher Oxford
SKUBK00000007655

Reviews

Leave a product review
or cancel