Panda Ngazi: Safari ya Sungura


Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa na watoto wenye uwezo ulioimarika wa kusoma.

Mfululizo huu una viwango kama vile mwimbuko, mwanzo, mpito na kati.

KES 267
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010143001058
Author Timothy
ISBN 9789966631176
Weight (kg) 0.1
SKU2010143001058

Reviews

Leave a product review
or cancel