Safari ya penseli pisho

by Story Moja

by Mohan


Pisho, Penseli, anatoweka kutoka kwa Musa, mmilikaji wake. Anapodhani amepata uhuru kwa kutoroka, 
anakumbana na masaibu chungu nzima katika safari yake.
Mathalani, anatumiwa kutoa nta masikioni, anatumiwa kama brashi na kuwa mlingoti wa bendera. Isitoshe,
wakati mwingine anatafunwatafunwa kama chakula. Je, Pisho atastahimili masaibu haya yote? 
Ataweza kurejea nyumbani siku moja?

ISBN: 9789966066978 SKU: 2010143001030
KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review