Storymoja: Jasusi na Hadithi Nyingine 5B

by Muthoni Wa Gichuru


Je, Unakumbuka siku yako ya kwanza kuendsha baiskeli? Unawezaje kupata shilingi milioni moja? Unahitaji ujuzi gani kumfunza asiyejua klusoma wala kuandika? Unaamini kuwakila king'aacho si dhahabu? Ni nini madhara ya uvutaji sigara? Je, unawezakufanya nini endapo rafiki yako mmoja ametoweka ghafla? Je, wewe umechangia nini shuleni mwenyu?

Soma hadithi hii ile kufuatilia zawadi na ndugu zake wanaposhiriki kwenye visa vya kusisimua na kujifunza mambo muhimu kuhusuutiifu,ujasiri na kujiamini.

ISBN: 9789966623928 SKU: BK00000004567
KES 500
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review