Storymoja: Usijilinganishe na Hadithi Nyingine 5B

by Muthoni Wa Gichuru


Zawadi anatamani awe kama Dorothy, rafiki yake. Dorothy alikuwa mtanashati na aliyekuwa na kila kitu ilhali yeye, Zawadi, vaitu na nguo anazovaa ni mpaka zichakae ndipo zibadilishwe.

Dorothy naye alimhusudu Zawadi lakini hakudhihirisha. Dorothy aliwaalika wenzake kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa kwake lkaini aliificha makusudi kadi ya mwaliko ya Zawadi. Kwa nini? Je, Zawadi aligundua hilo? Zawadi alitambua mtazamo gani alipojipeleka nyuumbani kwa kina Dorothy kuhudhuria sherehe bila kualikwa? Soma hadithi hii, miongoni mwa nyingine, ujue alichogundua Zawa

 

ISBN: BK00000004518 SKU: BK00000004518
KES 480
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review