Storymoja:Shajara Yangu ya Usomaji Kiwango cha 1

by Storymoja


Ikiwo unataka kuwa mwerevu zaidi na mjuzi wa mambo mengi, soma vitabu vingi vya hadithi. Ikiwa unapania kuwa mbunifu ili siku moja uweze kuwo mvumbuzi au mjasiriamali, soma vitabu vingi vya hadithi. ikiwa unataka kazi yenye mapato mazuri na kuchangia katika maendeleo ya taifa katika siku za usoni, soma vitabu vingi vya hadithi.

Jaza shajara yako kita wakati unaposoma. Onyesha wazazi au mlezi shajara yako na uwaambie kuhusu vitabu ambavyo umevisoma. Ilinganishe shajara yako na za marafiki zako kisha msherehekee usomaji wenu iwapo mmesoma vitabu vingi. Kusoma kunawezeshal Kusorna kuna manufaa kwako!

ISBN: 9789966622785 SKU: BK00000005021
KES 500
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect