Tausi na majuto katika kisa cha gaidi lii

by Chege


Lii ni gaidi sugu anayelihangaisha taifa. Anawatekanyara vijana na kuwafunza jinsi ya 
kuua na kufanya vitendo vya ugaidi. Serikali imejaribu kumkomesha lakini imeshindwa. 
Nani ataweza kumkomesha? Soma hadithi ujionee jinsi kijana mmoja wa mitaani anasaidia kumkomesha gaidi huyo sugu.
Karang'ae Chege ni mwandishi aliyebobea katika uandishi wa vitabu vya hadithi vya kusisimua. 
Miongoni mwa vichapo vyake vingine ni Safari ya Mabwe ambacho pia kimechapishwa na Queenex Publishers.
 

ISBN: 9789966075512 SKU: 2010143000886
KES 320
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review