Uteuzi wa Chale Level 7 (One Planet)

by Assumpta K.Matei


“...binadamu ametunukiwa vipawa anuwai na Mwenyezi Mungu. Kuna vile ambavyo ni wazi kama meno ya ngiri
ambavyo hata wenzake wanaviona. Kuna vile ambavyo sharti mja mwenyewe ajikune kichwa kuvitambua na kuvipalilia, hata
kwa kusaidiwa na wengine. Hata hivyo, binadamu ana hiari ya kukikuza kipawa akitakacho. ...uteuzi wa utakachotumia zaidi
kwa ajili ya kuitumikia jamii yako utakuwa wako binafsi.”

Uteuzi wa Chale ni kisa cha kusisimua kuhusu Chale, kijana anayejinyanyua kuvitambua vipawa alivyojaliwa na kuvikuza
kwa manufaa ya jamii yake, licha ya vikwazo vinavyomkabili.  Hadithi hii inampa msomaji fursa ya kujitambulisha na mazingira yake na kumpa stadi za kukabiliana na_hali zinazomkumba.

ISBN: 9789914410051 SKU: BK00000008754
KES 300
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review