Utoro


Binadamu amejikuta katika mbio kuutapia ulimwengu ili kutimiza ndoto zake na maslahi yake ya kibinafsi. 
Nao wakati unapita na kumwacha binadamu na mtapio wake. Ndoto huotwa, lakini si ndoto zote zinazotimia. 
Binadamu akipanga, taratibu za maumbile zinapangua, akijenga, ulimwengu unabomoa. 
Lakini yote haya mwanadamu huyasahau akabaki na pupa yake na kufa na mbio zake.
Bwana Alex Ngure ana tajriba ya miaka mingi katika ufunzaji na utahiniwa Kiswahili. 
Aidha, si mgeni katika uwanda wa uandishi. Baadhi ya kazi zake zilizochapishwa ni pamoja na 
Fasihi Simulizi Kwa Shule Za Sekondari, Pili Sura Mbili na Ushindi wa Jamila.

KES 554
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000082
SKU2010129000082

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review