Wasifu wa Tama

by Phoenix


Wasifu wa Tama ni hadithi ya kuchangamsha inayomzungumzia kijana wa kike ambaye anakumbana na changamoto nyingi katika maisha yake haswa akiwa masomoni. Licha ya changamoto hizo, anafanikiwa maishani kutokana na ari yake katika shughuli zake zote.  

Hadithi hii iliyosheheni mafunzo tutumbi imesimuliwa kwa mtindo rahisi kwa hivyo ni rahisi kuelewa

 

ISBN: 9789966051547 SKU: 2010143000581
KES 394
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect