Access Tuchangamkie Kusoma Grade 5

by Access


Tuchangamkie Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya rejea kuhusu stadi ya kusoma. Chini ya mfumo wa Mtaala wa Kiumilisi (CBC), stadi ya kusoma imepewa nafasi mahususi ambapo mbinu na aina za kusoma vinatiliwa mkazo. Ili kutosheleza mahitaji haya ya Mtaala wa Kiumilisi, vitabu vya Tuchangamkie Kusoma_ vimeandikwa kukidhi haja ya wanafunzi wa Gredi ya 4, 5 na 6 kuambatana na mahitaji hayo ya Mtaala wa Kiumilisi.

Kitabu hiki kinashughulikia aina zote za kusoma: kusoma Kwa ufasaha, kusoma kwa kina, kusoma kwa ufahamu na kusoma kwa mapana kwa njia rahisi na nyepesi kueleweka. Kina mifano ya kutosha na mazoezi maridhawa yanayompa mwanafunzi umilisi ufaao kuyakabili maisha na kumwandaa vyema kwa ajili ya mitihani yake.

ISBN: 9789914729955 SKU: BK00000007617
KES 506
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect