EAEP Kiswahili Angaza Kitabu cha Mazoezi Grade 5

by M. Banda na S. Otieno


Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mazoezi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichoandikwa kwa ubunifu ili kuimarisha maarifa ya mwanafunzi kupitia mazoezi. Mazoezi kwenye kitabu hiki yamewasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtalaa wa Umilisi. Mazoezi haya yatamwezesha mwanafunzi kukuza stadi zinazohitajika, maadili na kukabiliana na masuala mtambuko. 
Kitabu hiki kimezingatia mambo sita muhimu katika ujifunzaji wa lugha:
• Mazoezi mbalimbali yanayopalilia na kushadidia umilisi wa mwanafunzi 
• Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha ambazo ni: Kusikiliza, kuzungumza, Kusoma na kuandika. 
• Picha ya muhtasari inayoeleza yale yatakayoshughulikiwa kwa kila stadi ya ujifunzaji. 
• "Sasa ninajua' na Jitathmini' ambavyo ni vidokezo vya kujifunzia na kuimarisha umilisi baada ya mazoezi. 
• Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi. 
• Picha zilizotumika zimechorwa vizuri na kikamilifu. Kila mada imeanza kwa picha ambayo inasisimua hamu ya mwanafunzi ya kujifunza. 

Waandishi wa kitabu hiki ni wale wale waandishi wa vitabu maarufu uvipendavyo vya Kiswahili Angaza Gredi ya 1, 2, 3, 4 na 5, na wana uzoefu mkubwa na wamekiandika kitabu hiki kwa utaalamu mkuu.

ISBN: 9789966565792 SKU: BK00000002225
KES 509
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect