Chanda na Pete

by Phoenix


Je, ni kwa nini wahusika wakuu wana majina lukuki? Swali hili linajibiwa ipasavyo na hadithi Chanda na Pete.

Vijana wa siku hizi wanajichagulia marafiki ambao wana mienendo na hulka njema. Wanaamini kuwa marafiki hawa wanachangia pakubwa katika kufanikisha maisha yao ya usoni. Hali hiyo haitofautiani kamwe na jinsi ilivyo katika hadithi hii.

ISBN: 9789966479600 SKU: BK00000008565
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect