Dua Iliyojibiwa


“Ahaa! lwapo ugonjwa huo upo nchini Goma na hautafika hapa nchini Topeni haraka, majaaliwa nitauendea. Ninazo mbinu za kuuendea. Ufadhili wa fedha utakaotolewa ni mwingi mno na siwezi kuponyokwa na bahati kama hii. Topeni ina idadi kubwa ya wananchi na Tiuma ikija na kufyeka nusu ya wananchi hasa Watondo, nchi itapata fursa ya kupumua...”

Mheshimiwa Majuju ni Waziri wa Afya nchini Topeni, taifa moja barani Afrika. Ugonjwa unaoitwa Tiuma umezuka duniani na kigogo Majuju anaomba dua. Husemwa mwomba Mungu hachoki na hatimaye dua yake inajibiwa. Tiuma inabisha hodi nchini Topeni na mwanawe kigogo aitwaye Mateso yu taabani. Je, waziri atakabiliana vipi na hali hii? Riwaya ya Dua Iliyojibiwa ni riwaya ya kipekee iliyoandikwa kwa mtindo wa kumtia msomaji hamu na ilhamu ya kusoma, kusoma tena na tena asiiweke chini hadi afikapo kwenye kitone cha sentensi ya mwisho.

KES 490
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000010171
Author Yahya Mutuku
ISBN 9789966142016
Publisher Queenex
SKUBK00000010171

Reviews

Leave a product review
or cancel

Products you recently viewed