Hadithi za Mashairi 4 Chura na Ngedere

by KW Wamitilia


Chura na ngedere ni kisa kinachohusu urafiki baina ya chura na nyani ambao unaharibika siku moja. Je, ni nini kinachouharibu urafiki huo? Je, chura alifanya nini? Ngedere mwenyewe naye alifanya nini. Soma kisa hiki cha kufurahisha na kuchekesha ambacho kimesimuliwa kwa mtindo wa kipekee wa shairi.

ISBN: 9789966773128 SKU: 2010143000140
KES 215
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect