Harusi ya panya

by Phoenix


Kafiya ni panya mrembo sana na mwenye maringo mengi. Anawavutia jogoo, chura, mbwa, paka na panya jirani. Wanyama hawa wanang’ang’ania kumuoa lakini kwa sababu ya maringo yake Kafiya anawakataa baadhi yao ila tu mmoja. Je, ni nani atakayemuoa Kafiya? Je, ni nani atakayeunganisha ndoa yao? Soma hadithi hii ya Harusi ya Panya unufaike.

ISBN: 9789966479747 SKU: BK00000008563
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect