Jinsi tumbiri alivyopata manyoya

by Story Moja


Tumbiri na Binadamu ni marafiki wa kufa kuzikana. Wanaishi katika nyumba moja wakipika na kula pamoja. 
Tumbiri hashibi wanapogawana chakula nusu bin nusu. Anabuni mbinu za kujishibisha. 
Je, mbinu hizo zitafaulu ama zitagonga mwamba?
 

KES 420
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010143001017
Author Kerubo
ISBN 9789966621108
SKU2010143001017

Reviews

Leave a product review
or cancel