Kachuma na Binadamu Wanyama

by Ngugi


Nikki Kachuma na wenzake kutoka Shule ya Taredi wamo safarini kuitembelea Mbuga ya Wanyama ya Nairobi. Hawana habari kuwa kuna zaidi ya wanyama katika mbuga hii, na kuwa wengine wa binadamu wenye maficho yao hapa ni hatari kuliko wanyama wenyewe...   
ISBN: 9966471448 SKU: 2010143000472
KES 406
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect