Kaka sungura

by Story Moja


Wanafunzi wamebandika mvulana mwenzao wa Gredi ya Nne jina 'Kaka kama Sungura' kwa sababu meno yake yanafanana na ya sungura. Anapochoshwa na uchokozi, anaibua mbinu maalumu za kukabiliana na wanafunzi wakorofi. Je mbinu hizo zitafaulu?

ISBN: 9789966066664 SKU: 2010143001018
KES 400
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect