Kamusi ya Msingi Kiswahili - English -Oxford

by OXFORD KENYA


Kamusi ya Msingi Kiswahili- English

Je, ungependa kuifahamu lugha ya Kiingereza kama unavyoifahamu lugha ya Kiswahili? Je, ungependa kujua tafsiri za Kiingereza za maneno ya Kiswahili unayoyajua? Basi Kamusi ya Msingi Kiswahili- English itakusaidia.

Kamusi hii ina:
- Mada kuu 27
- Maneno muhimu ya Kiswahili zaidi ya 1,800 na tafsiriza maneno hayo
- Wingi wa nomino
- Mifano rahisi ya sentensi katika Kiswahili na Kiingereza
- Michoro zaidi ya 1,200 ya kupendeza

ISBN: 9780195748895 SKU: BK00000001441
KES 916
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect