Kisa cha Fumo Liyongo- Hadithi za Mashairi 8

by Wamitila


Kisa cha Fumo Liyongo ni kitabu kinachosimulia hadithi ya Fumo Liyongo, shujaa aliyeishi zamani katika pwani ya Kenya. Hiki ni kisa ambacho kimesimuliwa kwa ustadi na namna ya kumchangamsha msomaji. Soma ujue yaliyompata Liyongo na jinsi alivyoonyesha ustadi mkubwa akipambana na maadui zake. Hii ni mojawapo ya hadithi za kuburudisha kabisa.   

ISBN: 9789966773296 SKU: 2010143000347
KES 153
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect