Kisa cha Nyuki 4A


Kisa cha Nyuki ni hadithi inayohusu Nyuki, Duduvule na Nyigu waliokwenda msituni kutafuta elimu. Mwalimu Asili aliwafundisha jinsi ya kutengeneza nyumba, asali, kujilinda miongoni mwa mambo mengine. Ni hadithi ya kusisimua na yenye burudani kemkem ambayo inapanua ufahamu wa msomaji kuhusu wadudu na mazingira. Je, tofauti kati ya Nyuki na wadudu wenzake ni nini? Soma upate kung'amua.   

KES 418
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect