KLB Visionary Kiswahili - Mwalimu Gredi 6 (Approved)


KLB Visionary Kiswahili Gredi ya Sita (Mwongozo wa Mwalimu) kimechapishwa kwa kuzingatia MTaala wa Kiumilisi wa mwaka wa 2021 wa masomo ya shule za msingi Gredi ya Sita kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Nchini Kenya (KICD). Mwongozo huu umechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwalimu kuelekeza na kufunza lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.

ISBN: 9789966657404 SKU: BK00000005746
KES 529
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect