Kurunzi ya Insha Darasa la 6, 7 & 8

by J.Mwamburi, H.Indindi


KCPE Kurunzi ya Insha Darasa la 6,7 na 8 ni kitabu kinachofumbua fumbo ambalo limempiga chenga mwanafunzi wa darasa la 6, 7 na 8 kwa muda mrefu. Kitabu hiki ni mwangaza unaompa mwanafunzi ujuzi na upevu wa kuandika kila aina ya insha kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya 2002. Kitabu hiki ni kito kwa mtahiniwa anayejiandaa kuukabili mtihani wa KCPE kwa kumdondolea hoja muhimu pekee, kumtathmini na kumwelekeza jinsi ya kuandika tungo maridhawa na zinazovutia ili azoe alama nyingi zaidi anapoandika insha.   

ISBN: 9789966002525 SKU: 2010127000477
KES 754
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect