Premier Golden Tips KCPE Social Studies for Primary Schools

by Moran


-Kitabu hiki kinafundisha lugha kutegemea stadi na maarifa kama inavyopendekezwa na Taasisi ya Elimu ya Kenya. Mifano iliyotolewa ni ile ambayo mwanafunzi anakumbana nayo katika maisha yake ya kila siku. Masomo katika Masomo ya Msingi 7 yamepangwa kulingana na mgawo wa stadi zilizoko kwenye silabasi. Kila sura katika kitabu hiki imegawika kama ifuatavyo:

A. Ufahamu 

B. Msamiati 

C. Sarufi 

D. Kusikiliza na kuongea

E. Kuandika 

-Kitabu hiki kimejengwa katika misingi thabiti ya hatua kwa hatua, hali ambayo itamwezesha mwanafunzi kusoma taratibu na katika hail ya kujiendeleza. Mna pia mazoezi ya kutosha ya kumjenga mwanafunzi ipasavyo. Waandishi wa mfululizo huu wa Masomo ya Msingi ni wenye tajriba kuu katika ualimu na wanayafahamu mahitaji ya wanafunzi waliowaandikia. Ni matumaini yetu kwamba mfululizo wa masomo haya utakuwa mwangaza kwa wote.   

ISBN: 9789966343901 SKU: 2010124000161
KES 905
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect