Kurunzi ya Insha Kidato 3 na 4

by Waihiga


Kurunzi ya Insha Kidato cha 3 na 4, kimezingatia kwa tuo tungo zote za ubunifu, kawaida na za kivamilifu zilizomo kwenye silabasi ya Kiswahili, kidato cha tatu na nne. Kinawapa wanafunzi wa vidato hivi mwangaza na ustadi kamili kuhusu uandishi wa tungo hizi. H ususan, kimetilia maanani matakwa na masharti ya karatasi ya insha katika mtihani wa KCSE. Ni wenzo na kito ambacho mwanafunzi hatatamani kuweka chini awapo na matumaini ya kujipatia alama 'A' katika mtihani wa KCSE. Kwa mwalimu, hii ni dira tosha ya kuwaongozea na kuwatathminia wanafunzi.

 

ISBN: 2010127000439 SKU: 2010127000439
KES 783
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect