Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Grade 1


Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya kwanza ni kitabu kilichoandaliwa kwa ustadi ili 4 kurahisisha uelewa wa mwanafunzi katika Gredi ya Kwanza kwenye mfumo huu wa umilisi.

Sifa za kitabu hiki

  • Kimeandikwa kwa wepesi wa maswali ili kumsaidia mwanafunzi kufanya mazoezi zaidi yanayofuata muundo wa umilisi.
  • Kinofuata kikamilifu mfumo mpya wa umilisi.
  • Kimefanyiwa utafiti wa kina zaidi wa maswali yaliyopo katika kila sura, mwisho wa kila sura na mwisho wa muhula.
  • Maswali yanayomsaidia mwanafunzi wa kiwango chochote kufanya mazoezi ili kujenga umilisi mbalimbali.
  • Maswali yana michoro na picha za kuvutia kurahisisha uelewa wa mada lengwa.
  •  Majibu ya Mazoezi yote yapo mwishoni mwa kitabu hiki. Majibu haya yanalenga mwanafunzi, mzazi au mlezi na mwalimu.
KES 319
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010127000814
Author Matei
ISBN 9789966572097
Weight (kg) 0.3
SKU2010127000814

Reviews

Leave a product review
or cancel