Longhorn Marudio ya Kiswahili Grade 5

by Longhorn


Longhorn Marudio ya Kiswahili - Gredi ya 5 ni kitabu chenye mazoezi ainati ya marudio yaliyokusudiwa kumsaidia mwanafunzi wa Gredi ya 5 kudurusu kwa urahisi. Kimezingatia kikamilifu maelekezo ya mtaala wa umilisi katika uandishi wake. Vilevile, kimejikita katika vipengele vinne vikuu vya ufunzaji wa lugha ya Kiswahili. Kuna:

-Majaribio ya kufungua, kati na mwisho wa mihula yenye muundo mpya wa mtihani wa kitaifa kwa kuzingatia mtaala wa umilisi,

-Mazoezi yanayohusu kusikiliza na kuzungumza, kusoma, sarufi na kuandika,

-Michoro inayovutia na vielelezo vya kuwasaidia wanafunzi kuelewa dhana mbalimbali kwa urahisi,

-Maelezo mafupi ya dhana mbalimbali muhimu.

Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba pana ya ufundishaji na utahini wa somo la Kiswahili. Kwa mwalimu, mzazi au mlezi, kitabu hiki chenye mazoezi ya marudio na majaribio ya mitihani ni nyenzo muhimu ya kumboresha na kumwandaa mwanafunzi kwa mitihani ya somo la Kiswahili.

ISBN: 9789966643605 SKU: BK00000007901
KES 560
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect