Marudio Hima hima Kiswahili Kidato cha 4


Marudio Hima Hima Kiswahili Kidato cha 4 ni kitabu cha mwisho cha marudio katika msururu wa vitabu vinne vya kidato cha kwanza hadi cha nne vya marudio. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia mahitaji ya silabasi pamoja na kumwelekeza mwanafunzi na mwalimu katika kuyaelewa mahitaji kamili ya kila swali.Kinyume na kawaida katika vitabu vya mazoezi na marudio, msururu wa Marudio Hima Hima unazingatia:

  • Mahitaji ya silabasi kikamilifu kutoka imiluila hadi muluila, kidato hadi kidato.
  • Maswali yanayotahinivva vanatilia nikazo umilisi na utendaji wa inwanafunzi kalika matumizi ya lugha.
  • Viwangovyote vya utendaji vimetiliwa maananijyaani: kusoma, knsikilizanakuongra. kuandtica, msamiati na isimujamii.
  • Lugha rahisi na nyepesi
  • Vifungu vyonye  kuibua na kuyajadili maswala ibuka yakiwemo yanayohusu teknohama na ujasiriamali.
  • Majibu yenye kulenga hoja kifupi laldni kwa kikamilifu.
  • Maelezo na maelekezo ya kinachotahiniwa na jinsi ya kupata jibu sahihi.

Huu ni msururu wa vitabu ambavyo ni kama vito vya thamana katika kumtayarisha mwanafunzi kukumbana na mtihani wa Kiswahili katika ngazi ya KCSE.Waandishi wa msururu huu ni walimu waliobobea na wenye tajriba. Wamefundisha Kiswahili kwa miaka mingi pamoja na kushiriki katika utungaji na utahini wa mtihani wa Kiswahili wa KCSE.

KES 755
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
Author Wanjiru Maina,Jennifer N.Wachira
ISBN 9789966361363
SKU2010127000592

Reviews

Leave a product review
or cancel