Mlilwa na Ndege wa Ajabu


Vitabu vya Sayari vimenuiwa kuwaongezea wanafunzi maarifa ya kuisoma na kulelewa lugha ya Kiswahili, huku vikiwafanya wajimudu katika kuizungumza lugha hii.
Vimekusudiwa kusomwa na wanafunzi wa darasa la sita, saba na la nane katika shule za msingi za Afrika Mashariki. Kwa kuwa hawa ni wanafunzi waliokomaa, lugha katika mfululizo wa vitabu hivi imepevushwa ili kuwatayarisha katika mtihani.
Mlilwa na Ndege wa Ajabu ni hadithi inayosimulia jinsi Mlilwa alivyoachwa na baba yake juu ya mbuyu ili afilie huko kwa sababu ya kumwachilia ndege aliyekuwa ameshikwa katika mmoja wa mitego yao. Kisome kisa hiki cha kusikitisha na kuburudisha pia.
 

ISBN: 0 SKU: 2010143000043
KES 294
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect