Mlilwa Amtafuta Baba yake

by Mehta Abeid


Vitabu vya sayari vimenuiwa kuwaongezea wanafunzi maarifa ya kuisoma na kuielewa lugha ya Kiswahili, huku vikiwafanya wajimudu katika kuizungumza lugha hii. Vimekusudiwa kusomwa na wanafunzi wa darasa la sita, saba na la nane katika shule za msingi za Afrika Mashariki. Kwa kuwa hawa ni wanafunzi waliokomaa, lugha katika mfululizo wa vitabu hivi imepevushwa ili kuwatayarisha katika mtihani. Mlilwa Amtafuta Baba Yake ni mfululizo wa hadithi ya Mlilwa na Ndege wa Ajabu. Katika kisa hiki, Mlilwa yuko radhi kupoteza mall yake yote ili ampate baba yake. Ni yapi yanayomfika? lsome hadithi hii nawe utaburudika ajabu. 

ISBN: 9789966469090 SKU: 2010143000537
KES 294
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect