Moran Hadithi Changamka: Luseno na Mpira Wake Level 1a


Luseno ana mpira mpya. Mpira wa Luseno ni wa kuchezwa kwa miguu. Luseno anapenda kucheza na mpira wake. Mpira wa Luseno ni mpya. Je, Luseno anacheza na nani mpira wake? Soma kitabu hiki ili ujue mambo mengi kuhusu Luseno na mpira wake.

ISBN: 2010143000475 SKU: 2010143000475
KES 200 KES 232
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect