Moran Stadi za Kiswahili Grade 7 (Approved)

by Moran


Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

-Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 7

-Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi

-Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi

-Kimejumuisha mada na mada ndogo zote

-Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 7

ISBN: 9789966634580 SKU: BK00000007648
KES 719
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect