Mwakilishi wa Watu


Hadithi hii ni juu ya serikari fulani ya Kiafrika iliyolemazwa na rushwa. Mhusika mkuu, Nanga, ni mtu asiyekuwa na elimu na ilhali ni Waziri wa Utamaduni. Mwanzoni mwa  hadithi, anaitembelea shule ambapo msimulizi wa hadithi, Odili Samalu, anafundisha. Anamtambua Odili, mwanafunzi wake wa hapo awali, na anamwalika kwenda kuishi naye nyumbani kwake mjini Bori. Hapo, Odili anafahamu jinsi madaraka na rushwa vinafanya kazi.

Mwamko wa siasa pamoja na kulipizana visasi katika maisha ya faragha vinamfanya Odili aamue kupambana na Nanga katika uchaguzi wa Bunge. Hadithi ya shughuli zake inaibuka wakati wa uchaguzi mkuu ambao unakuwa kilele cha rushwa na ghasia za ajabu.

KES 626
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000178
Author Chinua Achebe
ISBN 9789966460851
Weight (kg) 0.3
SKU2010129000178

Reviews

Leave a product review
or cancel