Mwongozo wa Tamthilia ya Bembea ya Maisha (Globalink)


VIPENGELE VILIVYOSHUGHULIKIWA:

-Ploti (msuko), mandhari na umuhimu wake.

-Unaeleza kwa kina sifa na umuhiwa wa wahusika.

-Unachunguza kwa marefu na mapana mbinu za kimtindo.

-Unashughulikia ufaafu wa anwani, dhamira pamoja na maudhui mbalimbali,

-Kuna maswali ya mukhtadha, maudhui, wahusika na mtindo.

-Pia kuna maswali mengine yanayojumuisha mwingiliano wa vipengele hivi vyote.

KES 522
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000006498
Author Globalink
ISBN 9789966766878
SKUBK00000006498

Reviews

Leave a product review
or cancel