Nani Mfalme? 5A


Tai alichoshwa na ubabe wa simba Nguruma porini.Wanyama wanautukuza mngurumo wake unaowalinda dhidi ya wawindaji. Tai anahisi kuwa wanyama wengine inabidi watambue maono yake ni thabiti. Anaamua kupanga njama ili wanyama wamsusie Nguruma na kumkomesha asingurume tena. Baada ya ukimya mrefu wa  kutosikika mngurumo porini, wawindaji walirudi kuwavamia kwa kishindo. Juhudi za Tai kuwaokoa wanyama hazikufua dafu. Je, wanyama walipata mwingine wa kuwanusuru?

KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000004571
Author Storymoja
ISBN 9789966624017
Publisher Storymoja
SKUBK00000004571

Reviews

Leave a product review
or cancel

Products you recently viewed