Nuru ya Ushairi Mwongozo na Uchambuzi

by Kuvuna


Nuru ya ushairi kwa shule kinatoa mwangaza mwafaka kwa vipengele vyote vya ushairi.Kitabu hiki kimekusunduwa kuwapa wanafunzi wanaosoma mashairi kwa mtihani wa KCSE mwongozo kamilifu wa uchambuzi wa mashairi katika kiwango chochote au wanaofurahia mashairi kwa jumla.

ISBN: 996644209x SKU: 2010129000030
KES 419
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect