One Planet Fumbo la Watamu

by One Planet


Fumbo la Watamu ni hadithi ya kusisimua kuhusu Watamu. Mvuvi Bakari anaambatana na wanawe kwenda kupiga mbizi kwenye mapango ya Ufuo wa Watamu. Anakumbana na mnyama hatari wa baharini na kuhatarisha maisha ya wanawe. Je, ushauri aliopewa na Mzee Hamisi utamfaa katika kuwaokoa wanawe?

ISBN: BK00000008598 SKU: BK00000008598
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect