OUP Kiswahili Dadisi Grade 2 Workbook


Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mtataa mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanofunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

KES 458
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect