OUP Kiswahili Dadisi Mazoezi Gredi 2 (Toleo Jipya)


Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kufanikisha ufundishaji na ujifunzaji wa mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu hivi vitawawezesha wanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi, kupitia mazoezi murua ambayo pia yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko.

Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2, utapata:

-mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala.

-mifano halisi ya matumizi ya lugha kimuktadha.

-mazoezi ya kuchangamsha na_ kufikirisha ambayo yanawashirikisha wanafunzi moja kwa moja.

-vifungu vya kuburudisha na vinavyoendeleza ujifunzaji.

-nyimbo za kusisimua ambazo zitawachangamsha na kuwaburudisha wanafunzi.

-picha za rangi, zenye mvuto wa kipekee na ambazo zinachangia pakubwa katika ujifunzaji wa mwanafunzi.

-mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa.

-mazoezi ambayo yatawashirikisha mwanafunzi kutumia vifaa vya kidijitali katika ujifunzaji.

-jinsi ya kumshirikisha mzazi au mlezi kuimarisha ujifunzaji.

KES 535
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPCBK00000011294
Author Oxford
ISBN 9789914441406
Weight (kg) 0.5
SKUBK00000011294

Reviews

Leave a product review
or cancel