Safari ya Usiku

by Hezron Mogambi


Kemunto ana vipawa ajabu katika utunzi na uimbaji wa mashairi. Anaelekea kutambulika katika wilaya na mkoa…hadi anapokutana naye Makena, kijana wa kitajiri aliyendekezwa na wazazi wake. Kushiriki kwake mambo ya kimapenzi katika umri wake kutamwelekeza wapi Kemunto?

ISBN: 9966471510 SKU: 2010143000364
KES 332
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect