Kifo Kisimani


Dkt. KITHAKAWA MBERIA ni mwenyekiti wa Idara ya Isimu na Lugha za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Nairobi. 
Mbali na kusimamia Idara na kufundisha katika nyanja za Kiswahili, isimu na mawasiliano, 
anajishughulisha na utunzi wa mashairi na tamthilia na pia uchoraji. 
Kwa muda mrefu ameshiriki kama mwamuzi katika Tamasha za Muziki za Kenya, 
Tamasha za Muziki na Utamaduni za Kenya na Tamasha za Uigizaji za Shule na Vyuo za Kenya. 
Yeye ni mwanakamati wa Kamati ya Kitaifa ya Tamasha za Muziki na Utamaduni za Kenya na vile vile 
mwanakamati wa Kamati ya Chama cha Waandishi cha Kenya. Vitabu vyake vingine 
ambavyo vimechapishwa na Marimba Publications Ltd ni Mchezo wa Karata (mashairi) Natala (tamthilia) na 
Bara Jingine (mashairi)

KES 580
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000049
SKU2010129000049

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review