Sofia Mzimuni 4c

by Habwe


Sofia na rafikiye wanaingia na kupotelea mzimuni ambamo kuna wanyama wakali, wendawazimu na watu wengine wabaya ambao wanaweza kumdhuru hasa msichana mdogo. Wasichana hao wawili wanatafutwa lakini hawaonekani. Je, itakuwaje?

Sofia Mzimuni (Utamu Kolea 4C) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa sambamba na kitabu chochote cha kozi.

ISBN: 9789966498809 SKU: 2010143000089
KES 186
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review