Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 3 (New)

by Spotlight


Toleo hili Jipya la Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 3 limeandaliwa kwa upekee zaidi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu na kujifunza stadi nne za mtaala mpya wa Kiswahili, zikiwerno: Kusikiliza na Kuzungumza.
Kusoma, Kuandika na Sarufi.

Kitabu hiki kimejumuisha vipengele vipya vya kuandike na kusoma ambavyo havikuwepo awali. Mbali na kuzingatia mtaala mpya wa Kiswahili uliofanyiwa marekebisho, 2022, kimeandikwa kwa njia sahili na yenye mvuto.

ISBN: 9789966573742 SKU: BK00000008898
KES 580
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect