Storymoja:Shajara Yangu ya Usomaji Kiwango cha 3


Ikiwa unataka kuwa mwerevu zaidi na mjuzi wa mambo mengi, soma vitabu vingi vya hadithi. Ikiwa unapania kuwa mbunifu ili siku moja uweze kuwa mvumbuzi au mjasiriamali, soma vitabu vingi vya hadithi. Ikiwa unataka kozi yenye mapato mazuri na kuchangia katika maendeleo ya taifa katika siku za usoni, soma vitabu vingi vya hadithi.

Jaza shajara yako kila wakati unaposoma. Onyesho wazazi au mlezi shajara yako na uwaambie kuhusu vitabu ambavyo umevisoma. Ilinganishe shajara yako na za marafiki zako kisha msherehekee usomaji wenu iwapo mmesoma vitabu vingi. Kusoma kunowezesha! Kusoma kuna manufaa kwako!

KES 580
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000005020
Author Storymoja
ISBN 9789966622792
Publisher Storymoja
SKUBK00000005020

Reviews

Leave a product review
or cancel